Sunday, March 29, 2009

LEO NIMEONA NIJIPENDELEE+ JUMAPILI NJEMA KWA WOTE PIA


Maisha ni safari ndefu watu tumetoka mbali

39 comments:

  1. Umependeza mwenyewe mpole. Heri kwa siku ya Jumapili.

    ReplyDelete
  2. Asante Sub! Mpole kwa vile nilikuwa msichana mdogo. Hapo ilikuwa mwaka 1993 lakini sasa nimezeeka

    ReplyDelete
  3. Nakwako pia,Yasinta kujipendelea imo kwasana tuu, sio mbaya siku moja moja na wewe ukajipendelea,hakika kivazi cha khanga kinapendeza.

    ReplyDelete
  4. Kujipendelea muhimu dada Yasinta,na umependeza jumapili njema.

    ReplyDelete
  5. kasikana haka nene!! kweli nicheliwi koki mpaka vayangu vakatolii. mwenga!!

    ReplyDelete
  6. Mbona ujuwili lepi lihina laku.Na umanyili wuli ngati uchelevi. Mwanga

    ReplyDelete
  7. Nimanyili kwandava ujovili una vana, na bambu waku ihuma kuulaya, hinu nene wa kulitumbandyosi niweza lepi kumnyaga, manyayi ngati umchokili nde niweza kumunyaga. ne wa magono goha!!

    ReplyDelete
  8. Dada Yasinta, kuna usemi wa kiIngereza, "a picture is worth a thousand words," ambao nawajibika kuuleta hapa, kwani, kufuatana na usemi huu, picha yako hii inajieleza kwa ufasa na kikamilifu kuliko maneno, hata yawe elfu. Hongera sana.

    ReplyDelete
  9. duh! du du dududududududuuuuh!
    picha nzuri sana mtani.
    leo nimeposti tungo kwenye blog yangu. karibu uisome.

    ReplyDelete
  10. Ha ha ha haaaaa lelu nihekili kweli eti wa kulitumbandyosi ula lihina lepi? nihekili mpaka makocho.


    Prof. Mbele asante sana kwa maneno mazuri.

    Fadhy nawe asante sana. na nitapita kibarazani kwako

    ReplyDelete
  11. Apu nikitahi wuli nene, ve hekayi tu, ila nene nde nijovili penapa, nikakulolahi naha tu, mambu chegivya pahi hapa basi tuyi, lakini niweza lepi ndava vazungu vatolili jumula, ne nibakila kulunga na vangoni vayangu kudahi kuni,na uwezu wa kumnyaga nivilinahu lepi. yati niyendelela kulya kwa mihu mewawa mpaka basi.

    ReplyDelete
  12. ndava ya kiki ukita naha? jovahi ve wa yani chondi chondi

    ReplyDelete
  13. Ingawa kiIngoni nababaisha tu, lakini mnavyolumbana mnanichekesha sana. Hapa nilipo ninatoka machozi kwa kicheko :-)

    ReplyDelete
  14. ya, nene? nitajayi lihina langu kusudi mngana waku anilondayi chirahisi, lepi, nitaja lepi lihina langu. nganivyahi nikonogela lepi nganitajili lihina langu kadeni. hinu niweza lepi kutaja lihina langu ndava yati yivya rahisi kwa mngana waku kunilonda kulitumba kuni!!

    Mwalimu Mbele veve wamuchokozi, ngava ya kyani wiheka veve?

    ReplyDelete
  15. Afadhali Prof. Mbele we unakipata japo cha kuombea maji, mi hapo ni, 'sasa tunajiunga na external service ya RTD', yaani dudu proof yangu haikamati, sawa na chenga za Tv!
    Wajameni mkimalizaga taarifa za habari mtukumbuke na sisi wasikilizaji!

    ReplyDelete
  16. Prof. Mbele hata mimi nacheka kiasi kwamba sina mbavu.

    Na veve kosi lihina kazi kwelikweli

    Subi rafiki yangu kwa kweli nitakupa habari ni nini kinaendelea:-)

    ReplyDelete
  17. veve, hekayi tui, ne nijovili, ngati ujumbi umali kukuhikila! lihina langu nikulitaja lepi ndava niyogopa muweza kuhamba kunitakila kusheriya eti nikurumurubuni mdala wa vandu na wakati nene niganili!!

    Subi veve kotakesayi ngati umanyili lepi! au mboni chingoni rahisi sana kulongela, ve wihuma koki wishindwa kulongela hata cha kuwombela manji!

    haya Yasinda, usiku mwema, ugonayi na kulota ndoto zabwina bwina naha.

    ReplyDelete
  18. Hapa kazi ipo.
    wacha nijaribu, nadhani unasema, "wewe .... mrari ujumbe umefika! jina langu sikulitaja maana naogopa unaweza kusema ... kisheria eti nimekurubuni mdada wa watu na wakati wewe ....

    Subi wewe .... hufhamu lipi! au mbona kingoni rahisi sana kuongea, wewe ... kipi kinakushinda hata kuongea cha kuombea maji'.

    Nimeshoka kabisa, nakwenda kulala siwezi, endeleeni, mi pilipili inayolimwa shamba wala sijui inaniwashiani kama si umbeya tu usiokuwa na tija. Jamani eeeh, mkimalizaga kujikumbushila vya kwenyu muzungumuze lugha aliyotukazania Baba yetu Nyerere.... bwana we, tukutane bombiii kwenye nyumbiii.

    ReplyDelete
  19. Chabwina lepi naha ngati naha nitumilayi mail yatinimanya nene tu we wanyani chondichondi.

    Subi umejitahidi sana HONGERA:-)

    ReplyDelete
  20. Mbwitu, nikujovilie nene niyogopa yati mukunipeleka kusheriya. cha niyogopa sheriya nene, yaani niwanza tuyi kukutumila email kujova nde nene? lepi, nene yati niyendelela tu kulya kwa mihu mpaka nichokali!!!

    Subi veve, kumbe uyelewa chidogo!

    ReplyDelete
  21. Nimejitahidi kiasi ila mkiongea mcharazo ndo naambulia doti doti tu. Eneeleeni tu lakini manake mi sitafaa kuwa shahidi, si sielewi? sasa utakuwaje shahidi na helewi washtakiwa walichokuwa wakiongelea? Mi simo.

    ReplyDelete
  22. veve ya ukosili lihina CHONDICHONDI jovahi ve wa yani ukunilemaza yatinipata ugonjwa wa moyo.

    ReplyDelete
  23. Yasinta nani anakupa ugonjwa wa moyo? niambie tafadhali nijiandae kwa mazoezi muafaka.

    ReplyDelete
  24. veve lemalayi sana tu, nene nde nilemela zaidi yaku ndava nikuganili na wakati vandu vamali kutola jumula, nisigalili kutama mihu munani tuyi kulolekesa picha zaku!! nikujovela lepi, wala una sababu lepi ya kulwalila mumtima waku/

    ReplyDelete
  25. Ndava ya kiki ukita naha chabwina lepi nikuwomba unijovelayi ve wa yani pepei bambu wenga. Uvi kwoki?

    ReplyDelete
  26. mbwitu, nikujovela lepi, hata nikakujovelayi yisaidila lepi ndava veve uvili kuulaya, nene nivili kuni kubongo. veve umanyayi tu nene nihuma kulitumba ndyosi, nikumanyilii, nikuganeye sana tuyi wakati nakavili nakona, hinu vayangu watolili naha nina la kujova lepi!! nilekayi nilahi kwa mihu mewawa chinu lepi!!

    ReplyDelete
  27. Nikuwomba unijovelayi yatiikunisaila nene kumanya ve wa yani. Kweli ngati uneganili jova ve wayani kulitumba mboni nene nitamili lepi

    ReplyDelete
  28. ahaha, nijovili lepi nakuwene kulitumba, nene nde nihuma kulitumba. nijova lepi wenga, yati vakunikoma vangu va kuhuma kuulaya, nikuvayogopa sana, nijova lepi lihina langu!! papa msikana, nijova lepi

    ReplyDelete
  29. Kumbi uniganili lepi nikujovili uniyandikilayi barua pepe (mail) naha lepi Kweli unigali/waniganili?

    Ve na nene takonganiki kwoki?

    ReplyDelete
  30. nikuganili sana tuyi, litatuzu hata nikakujovilayi hinu yiwezekana lepi ndava ugegiwi! kukonganeka tikonganiki bahapa pamulima hapa!! nene nakuganili na hata hinu nikuganili sana tuyi, litatizu nde ngati che nijova mara zoa, ugegiwi na nene uwezu wa kumnyaga muyangu nivili nahu lepi

    ReplyDelete
  31. jova koki takonganiki na ndava ya kiki uniganili nene

    ReplyDelete
  32. Yasinda veve kotukayi kupata tabu ya waka, kukonganeka au kukonganeka lepi chinu lepi, la muhimu ne nikumanyili, nikuganili, lakini niweza lepi kujova sana ndava yati yileta ugomvi na vandu. Lakini Yasinda veve wamudesi, unimanyili sana tuyi!! wifuna kujova unimalinyi lepi kabisa? unimanyili!!! ena unimanyili mumumu mumtandau humu!!!

    ReplyDelete
  33. Ndava ya kiki yatiileta ugonvi nene nikumanyli lepi kabisa. Ukunivinisa mutu. kwanza unimanyili wuli hata lihina langu tu uweza lepi kuyandika. yandikaye mail chondichondi ugana niwahi?

    ReplyDelete
  34. mbona nikujovili kotukayi kuvinisa mutu waku, unimanyili hata ngati uwayili lepi kuniwona, unimanyili. hilina laku nimanyili sana kuyandika, Yasinta kwa chiswahili, na Yasinda kwa chingoni au ukosiwi chingoni chene? lepi veve, kotokayi kuvinisa mutu waku sababu ya nene, haga nilekelayi nene nde nivina mutu! linda hinu nikuleki maana niwona uwanzili kuyoma, ne mbwitu kumuyomesa mundu.

    ReplyDelete
  35. veve wa yani chondi chondi ugana nikuligayi au? Chabwina lepi nihurumilayi ngati kweli uniganili jova ve wayani

    ReplyDelete
  36. kotukayi kuniliga, nimanyili veve wiliga lepi ndava mwalimu Ngonyani akufundishi lepi maligu!! mbona nijovili unimanyili? holalelayi bwina bwina, unimanyili, yati nikojeva ligono lingi, lelu niwona ngati uwanzili kuyoma naha! kotukayi kuyogopa yati nikujovela mulongo wangu!

    ReplyDelete
  37. ummanyili wuli dadi wangu mwl. lepi jovahi lelu yatiniweza lepi kugona. Na ena niyomili sana na maligi nivili nagu sana npiga magoti na nikumwomba unijoveleyi ve wayani? yiwonekana unimanyili sana tabia yangu

    ReplyDelete
  38. yati nikujevela badayi chidogo, nikakulelayi kugmail, lakini mpaka hapa naha umali kunimanya!! pepayi, kotukayi kuyoma veve!! mbona nikujovili kotukayi kuvinisa mutu waku waka na nene?

    ReplyDelete
  39. Mmmmm Mlongo umependeza sana. jumapili njema kwako na familie yako

    ReplyDelete