Karibuni chakula ni chaguo lako ukitaka pweza chips au samaki changu chips. Kuwa nyumbani raha kweli unaweza kula chakula cha kutoka baharini mara hiyohiyo.
Da! yani nikiyaangalia haya makulaji, home nitaweka mgomo,nimechoka kula ndisi,mtori na ngararimo , kweli nitawaonyesha hii picha ili wanitengenesee hivi hivi kweli ili na mimi nijichane."Aika sana"(nashukuru sana)
Yasinta wewe mgomvi? vitu kama hivyo wenzako ni adimu kuvipata sasa mate yamenijaa mdomoni ila mimi hapo chips ni, no thank you naomba unibadirishie ondoa chips uniwekee ugali!!!!sawa dada na mikoni nimeshanawa nausubiri tuu.
Ushanitia majaribuni na makande yangu sasa hayatanoga !:-(
ReplyDeleteAaaah mbali mwanawani ungekua karibu sibakishi kitu hapo utaona sahani tupu..
ReplyDeleteOh! Simon usikasirike kwani makande ni chakula kitamu na cha kuleta nguvu:-)
ReplyDeleteNa Born2 Suffer, hakuna shida ningekuagizia sahani nyingine si unajua hatuli kwa mahesabu.
Majaribu hayana budi kuwapo, ole wake yule ayasababishaye ha ha ha ahaaa!
ReplyDeleteAma kweli mwili haujengwi kwa matofali.
ReplyDeleteDa! yani nikiyaangalia haya makulaji, home nitaweka mgomo,nimechoka kula ndisi,mtori na ngararimo , kweli nitawaonyesha hii picha ili wanitengenesee hivi hivi kweli ili na mimi nijichane."Aika sana"(nashukuru sana)
Kaka Bwaya naona mate yamekudondoka hapo. Ha ha ha :-)
ReplyDeleteKissima nawe naona umependa chakula. Ila hata mtori ni chakula kizuri.Nadhani ukiwaonyesha picha hii watakutengenezea tu. Maakuli mema
Yasinta wewe mgomvi? vitu kama hivyo wenzako ni adimu kuvipata sasa mate yamenijaa mdomoni ila mimi hapo chips ni, no thank you naomba unibadirishie ondoa chips uniwekee ugali!!!!sawa dada na mikoni nimeshanawa nausubiri tuu.
ReplyDeleteBila tatizo ugali tu utapata na hata ukitaka wali. Ila angalia haya mate yasidondeke sana wageni wengine watakimbia.
ReplyDeleteI like it
ReplyDeleteBy :
http://palembang-musi.blogspot.com/
http://bloggerindra.blogspot.com
http://bisnis-dollar-internet.blogspot.com/
Indra thankx for visiting my blog and you are welcome again and again
ReplyDelete