Thursday, March 12, 2009

MWANAMZIKI MCHANGA ERIK KLAESSON AKICHEZA FIDLA(FIOL)




Hapo juu ni kijana wangu akicheza fidla. Mwanamziki wa baadaye.

8 comments:

  1. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Dada Yasinta ukiwekeza kwa mwanao atakuwa kile unachowekeza.
    Hongera kwa kuwa na mtoto mzuri!

    ReplyDelete
  2. Halafu Yasinta, ukiwa mdau muhimu sana katika ulimwengu wa blogu za kiswahili, unaombwa kumpa ushirikiano kaka Simon, katibu wa Jumuwata, ushirikiano anapofanya jitihada za kuifufua jumuiya.

    Kwa sasa unaweza kutoa maoni yako pale Jielewe ili aweze kupata mawazo ya wadau kuhusu uanzishwaji na uboreshwaji wa jumuiya hiyo.

    Asante

    ReplyDelete
  3. Kaka Bwaya ahsante sana. Pia unajua ktk nyumba yetu wote ni wapenzi sana wa mziki.

    Pia asante kwa kunijulisha kuhusu JUMUWATA nilikuwa hata sina habari.

    ReplyDelete
  4. safi sanaaaa!kazi zuri kwa kijana mdogo kama huyo nimemsikiliza kama mara 3 na bado napenda kuendelea kumsikiliza,hongera sana wazazi.

    ReplyDelete
  5. Asante ndugu yangu ila sisi ni wahimizaji tu yeye ndo anapenda sana.

    ReplyDelete
  6. Woow!Mtoto mzuri Erik amefanya kazi nzuri,anapiga vizuri sana. Hongera Mama na Baba kwa malezi bora.

    ReplyDelete
  7. Han spela ju så fint! Jag blev djupt rört!

    Hälsningar
    Serina.

    ReplyDelete
  8. Sophi asante na Erik pia anasema asante na karibu sana .

    Serina Tack så mycket vi är så stolta och han älska att spela. Tack igen. Och tack också från Erik

    ReplyDelete