Habari za siku chache wanablog na wasomaji wote napenda kuchukua nafasi hii na kusema ya kwamba, nimesafiri salama na nimerudi tena hapa kijiwe. Ili niweze kuwa nanyi pia napenda kuwashukuru woooote kwa sala na upendo wenu nakujua mlikuwa mnaniombe nisafiri salama. Ni hayo tu.
Karibu tena na karibu sana Da Yasintha
ReplyDeleteAsante sana tena sana ila nimeikuta baridi kali si mnajua joto la Tanzania na pia Dar Kazi kweli kweli.
ReplyDeleteHongera sana,
ReplyDeleteNaamini umerudi huku ukiwa na nguvu mpya kabisa.
Nakumbushia ile zawadi uliniahidi kwamba ukirudi kutoka Ruhuwiko nitaipata haraka.
Upendo daima
Habari Dada Yasinta,
ReplyDeleteNimepita hapa kutoa shukrani zangu za pekee kwa kunitembelea na kunifariji kwa changamoto nilizozipata hivi karibuni, tuko pamoja.
Kwa sasa niko Arusha.
Yap yap yeke waaa shutashuta chapchap wote waaaaaaa! haha ha ha ha ha tunajirusha, haha ha ha tunajirusha. wakati blogu zinadmu wengine wanaleta mzaha mzaha heieieiei bambataa tambaa kamataaaa!
ReplyDeleteYasinta, tupo pamoja, nilikuwa najaribu kuweka mistari ya dada Nazizi wa pale Kenya wa kundi la Necessary Noice akiwa na Wyre au lile la EAST AFRICAN BASHMENT GROUP yaani namzimia kwa kazi zake huniambii kitu.
ASUBUHI umeniuliza swali kuhusu kuhusu Blog, lakini jibu ni kwamba katika ulimwengu huu huduma mpya zinaibuka sana, nami nazifuatilia sana. Nimeona kuna huduma mpya ya kuwafanya wasomaji wakufuatilia hata kwa kutumia barua pepe zao tu.
Hii inatokana na idadi kuwa kubwa kati ya wanaokufuatilia.
Nadhani umenipata ndiyo maana unaona baadhi ya watu hawapon katika Followers yako, labda wanaweza kujiunga mpya wakitaka ila hawatabadili chochote kwani wapo ila tu hawaonekani na picha zao hapo. Ndio maana unaona SING IN. huduma za bure hizo.
adherrykeycle
ReplyDelete[url=http://healthplusrx.com/garlic-benefits]garlic benefits[/url]
appoipawaibly