Habari yako sister Yasinta.Kwa kweli nimefurahi sana kwa kutupa habari za huko nyumbani kwetu Songea na ningeomba utuwekee picha za towm yetu kwani ni muda mrefu sana sijafika huko na kama utapata nafasi mtembelee mzee wetu yupo hapo Songea anaitwa Songambele.

ReplyDeleteNakuona dada hapo unapiga jembe,ama kweli likizo ninzuri sana unakula chakulu flesh.Samahani dada wewe una undugu na yule Ngonyani aliyekuwa mwanajeshi?
ReplyDeleteNaona kazi inaendelea na hapohapo uko gym!Kazi na mazoezi mumo kwa mumo.:-)Safi sana!
ReplyDeleteSasa mtani kulima umelima nani atavuna?
ReplyDeleteusiwe na shaka kila kitu kitaenda safi. Asante kwa kuuliza
ReplyDelete