PADRE RAPHAEL M.K. NDUNGURU TULISOMA SHULE YA MSINGI LUNDO PAMOJA=KUMBUKUMBU
Dunia hii ni kubwa kwa kweli Padre Raphael Ndunguru tumesoma shule ya msingi pamoja. Ni muda mrefu sana sijamwona kwa hiyo nimefurahi sana kuoma picha yake na kujua amekuwa padrea. Nami nasema Imani, Matumaini na Mapendo.
Hongera kwa kuwa padre Raphael. kufanya kazi ya kumtumikia Mungu!
ReplyDeleteDu, ticha wangu huyu!!
ReplyDeleteNami pia napenda kutoa HONGERA SANA kwa kuwa mtumishi wa mungu
ReplyDelete