Monday, December 29, 2008

TANGAZO AU NISEME MSAADA WA GARI LA KUKODISHA TAFADHALINI JAMANI

Mwenzenu nimekwama nahitaji msaada wa gari kwa bei nafuu PLEASE nitumie mail kama unajua kuna mtu au wewe mwenyewe una gari ambalo mimi na familia yangu tunaweza kukodi Tafadhalini nisaidieni. Tunahitaji gari toka Dar kwenda songea na tutakaa Songea kwa muda wa miezi miwili na baada ya hapa kuliacha dar tena.

4 comments:

  1. ufafanuzi tafadhari, upo wapi? songea au Dar? unahitaji kwenda sehemu gani? maana aina ya gari inategemea na uelekeo unaotaka kwenda. otherwise nenda kwenye email nimejaribu kukupa jibu!!

    ReplyDelete
  2. wasiliana na huyu bwana anitwa Lusenga, niliwahi kutumia gari lake kwenda Iringa wakati fulani na bei yake ni maelewano.
    mtwangie kwa namba hii hapa chini yuko Dar Es Salaam. +255 0713 227363.

    mwambie ni mimi nimekupa namba yake. kama ukikwama wasiliana na mimi kwa namba yangu kwenye blog ili niweze kukusaidia zaidi.

    ReplyDelete
  3. He! Dada miezi miwili unafanya nini Songea?
    Hebu Jaribu haya makampuni ya Rent Car.

    ReplyDelete
  4. duh!yaani ukae nje miaka kibao kisha likizo yako yote ukaimalizie songea????wakati sikuhizi bongo kuna sehemu kibao nzuri za kwenda kutembea likizo nakushauri songea ungeenda japo week2 tu zinatosha sana hizo.anyway ukija sweden nitakutafuta mimi nipo malmo wewe mji gani?janetjesse51@yahoo.com

    ReplyDelete