Friday, December 5, 2008

SHANGAZI ZANGU (WATOTO WA KAKA ZANGU)

Napenda kuwapa hongera shangazi zangu hawa watatu, kwa sababu huu ni mwezi wao wote watatu wanatimiza miaka mwezi huu wa kumi na mbili. HONGERENI SANA SHANGAZI ZANGU.

2 comments:

  1. Ningependa siku moja tujadili undugu wa kwetu (nikimaanisha Tanzania) kulingana na makabila. Hapa naona Watoto wa Kaka zako ni Shangazi zako na wengine wanaweza kushangaa wakati kwetu mtoto wa Mjomba wako ni Mjomba na wa kike ni Mama Mdogo. Si kila sehemu iko hivi lakini inafurahisha kuona tunakuwa na undugu wa namna tofauti kwa manufaa ya jamii. Tutajadili. Hapa naona kuna mengi ya kutabasamulia. Alot to smile about tofauti na yale yaliyokutia hasira kwangu.
    Asante na karibu tena

    ReplyDelete
  2. Ni kweli mzee wa changamoto subiri hilo linakuja liko jikoni karibu litaiva. karibu tena nawe.

    ReplyDelete