Mpe pongezi nyingi huyo dada. Mwambie namwombea kwa Mungu awape wanae maisha marefu yenye furaha na kumjua yeye.Pia awalee katika maadili mema kama mamaangu alivyonilea mimi.
Pongezi zimefika, katika picha na pia nilivyomwona inaelekea atawatunza kwa kadri ya uwezo wako na kuwalinda.
Na mimi mpe hongera zangu pia.Nime pita tena kibarazani kwako nimeona nikusalimie.
Mpe pongezi nyingi huyo dada. Mwambie namwombea kwa Mungu awape wanae maisha marefu yenye furaha na kumjua yeye.
ReplyDeletePia awalee katika maadili mema kama mamaangu alivyonilea mimi.
Pongezi zimefika, katika picha na pia nilivyomwona inaelekea atawatunza kwa kadri ya uwezo wako na kuwalinda.
ReplyDeleteNa mimi mpe hongera zangu pia.
ReplyDeleteNime pita tena kibarazani kwako nimeona nikusalimie.