Wednesday, December 3, 2008

HOSPITALI YA LITEMBO


Leo nimeamua kutembele hospitali ya Litembo Wilaya ya Mbinga pia Mkoa wa Ruvuma.Nimekumbuka kwani mwaka 1980 babu yangu aliuzwa hapa na mpaka Mu ngu alipopenda alimchukua.

5 comments:

  1. Da Yasinta, babuyo aliuzwa kinamna gani? Ama ulimaanisha alilazwa?

    ReplyDelete
  2. Ndiyo Fadhy alikuwa anaumwa, alilazwa hapo kwa muda mrefu sana kipindi hicho nilikuwa darasa la pili nadhani kwa hiyo nimemkumbuka sana leo

    ReplyDelete