Saturday, December 6, 2008

KUMBUKUMBU YA MAREHEMU BIBI YANGU

Leo nimemkumbuka sana mpendwa bibi yangu tangu anitoka imepita miaka mitatu. Bibi yangu ni huyo aliyejifunika kitenge, katikati nadhani mnajua au basi ni mimi na mwishoni ni mama yangu mdogo mdogo wa mama.

14 comments:

  1. jamani wivu sana mbona mmependeza namna hii mnatoke wapi Litumbandyosi, Litapwasi au Mhukuru pale Songea? eti wenyewe wenye nyu7mba mnatokea wapi Bombambili, mji mwema au Ruhuwiko kwa kitimoto?

    mimi natokea huku nyasa nina ndugu yangu anaitwa Mnyasa yupo hukohuko nyasa.
    kwaheri mimi

    Mapambano Mpangala
    nyasa hapa kwa wavua samaki kunoga tu

    ReplyDelete
  2. Mungu akupe faraja kwa kumkumbuka bibi kwani Bwana alitoa na Bwana alitwaa, Jina la wana libarikiwe

    ReplyDelete
  3. We bwana samaki vipi sasa litumbandyosi, litapwasi, na miji yote ya Ruvuma hujavua samaki muda mrefu nini?

    Kaka Lazarus asante Bibi huyu alikuwa rafiki na mtani wangu. Namtamani sanaMungu aiweke roho yake mahali pema. Amina.

    ReplyDelete
  4. jamani ndugu yangu aliacha ujumbe hapo lakini amesahu LIPOKELA ha ha ha aunakumbuka mji huu dada Yasinta??? lakini mungu akubariki na kukubanika kama mishikaki udumu zaidi na uwe na familia mia mbili ha ha ha ha. hongera sana. mwee wivu

    ReplyDelete
  5. Markus mimi sijui lipokela iko wapi ebu niambi na huyo ndugu yako wa huko nyasa msalimie. Kwa nini unaona Wivu?

    ReplyDelete
  6. habari zenu wote humu ndani, leo nimelazimika kutoa comment kutokana na furaha yangu ya kuona kuna mtu ameikumbuka LIPOKELA, hapo ndio kwetu, Yasinta kama huifahamu Lipokela basi nina wasiwasi kama huwa unasafiri kwenda Mbinga, Lipokela ipo kati kati ya Matomondo na Liganga. ni kijiji maarufu sana kwa kilicho na ni wauzaji wakubwa sana wa maboga, kama wewe ni msafiri kati ya Songea na Mbinga, basi kijiwe cha kununua maboga ni Lipokela, du leo mmenipeleka nyumbani kabisa.
    Mdau wa Lipokela katika kutafuta maisha ughaibuni.

    ReplyDelete
  7. We mdau wa lipokela mbona hujasema jina lako ili tukujue. Ni hilo tu

    ReplyDelete
  8. Mdau wa Lipokela naitwa Tengeneza.

    ReplyDelete
  9. Ha ha ha haa Kama wewe tengeneza nani haribu.Haya bwana au bibi Tengeneza karibu tena na tena. Mdau wa LIPOKELA

    ReplyDelete
  10. Bambu Tengeneza hapa nivili kazi kweli. Ndava ya kiki ujova lepi lihina laku Bambu veve. Chamwina lepe.

    ReplyDelete
  11. ina maana uniyeliwi lepi? lihina langu Bambu Tengeneza, hinu veve wigana lihina gani kangi? nene nde nikuyelewa lepa kwandava nikujovili nene lihina langu Bambu Tengeneza, au uyovalili mahina ga kizungu?

    ReplyDelete
  12. Basi bwana kama hutaki kusema jina lako tigalekayi.Bambu Tengeneza(HARIBU)

    ReplyDelete
  13. kazi kweli kweli, hilo ndio jina langu jamani, mwee

    ReplyDelete