Thursday, December 11, 2008

JINSI YA KUANDAA MIHOGO(KUMENYA)


Hapa nimekumbuka wakati nilikuwa mdogo hapo ni mama, mimi na kakangu kama sikosei. Ha ha ha ha. Halafu nimekumbuka sana wakati nasoma Songea pale Majengo chakula changu kilikuwa chips mihogo.Miaka ya 1990, kazi kwelikweli.

2 comments:

  1. mayao, gwali gwa mayao na usipa basi, asiyejaribu basi ajaribu sasa

    ReplyDelete
  2. bambu kanyanja gwali kuoga sana maana ugali wa muhogo+kambale=....... eti wape jawabu hapo. Pata picha mlo wa aina hiyo. LAKINI umenikumbusha enzi zile nikiwa Mbeya pale Meta High school bwana yaani nikirejea likizo nyasa ilikuwa kwenda kung'oa mihogo,kumenya kama hivyo na kuloweka. yaani hakuna kusema kuna dada atafanya kazi hiyo wote walikuwa shule. Mwenzako umenikumbusha kweli yaani. aaaah mpka basi

    ReplyDelete