Tuesday, December 2, 2008

JE? HII NI HAKI KUCHOMA MOTO


Watu wengi wanachoma sana moto mashamba yao hawajui kama wanapoteza rutuba. pia wengine wanachoma moto misitu na pia wanasahau kupanda miti mipya.

3 comments:

  1. kwa kweli ni tabia mbaya kabisa kuchoma mazingira moto

    ReplyDelete
  2. mmm enzi zileeee nilikuwa napenda sana kuchoma moto mazingira hadi nilipomuona babangu akikasirika watu wanapochoma moto mazingira nikajua alaa kumbe hapa nyasa ilikuwa ni mambo ya kawaida sana

    ReplyDelete
  3. Msalimie babako kuwa ni mtu mzuri mwenye kujua kutunza mazingira

    ReplyDelete