Ee bwana ingependeza kujua wewe ni nani siku nyingine useme we nani. Haya tukumwone na veve habari za magono kubwina nishukuru ngati uyimwiki:-) na chilawu mewawa
Du hapo nimeambulia chenga tupu, sijaelewa kitu. Ngoja na mimi nijaribu kusalimu.
Haya dada yasinta habari za magono?
Ok, kama nimekosea dada nisamehe, nilikuwa na nia nzuri tu ya kutaka kujifunza lugha hiyo ambayo nadhani ni ya wenyeji wa Songea, ambao nawapenda sana kutokana na umahiri wao wa kucheza ngoma ya Lizombe na Limbamiza, hongereni watu wa Songea!!!!!!!!!!
Leo jioni nimepita kibarazani kwako nikaona nisipite kimya kimya, japo nisalimie kwa sababu huo ndio ustaarabu wetu sisi Watanzania. Ahsante sana na wewe kwa kunitembelea na kutoa maoni yako. Ukweli ni kwamba napenda sana changamoto zako kwani zinanisaidia kukua kimwili,kifikra na kiutambuzi pia. Nakukaribisha tena na tena. Karibu sana.
Huo ni ubaguzi, ubaguzi, ubaguzi kabisa mtani wangu da Yasinta.! Na mie niporomoshe cha kwetu? Hakya Mungu hapa patakuwa hapatoshi. Nimefurahi Shabani kapita kabla yangu. Natumia fursa hii kumshukuru kwa kuwa mtembeleaji mzuri katika vijiji vya wenzake. Da Yasinta hiyo picha imesimama. Uliipiga Lilondo ama Kitai? Ama Muhukuru hapo? Isije ikawa Ruhuwiko au Matemanga.? Inatukumbusha umuhimu wa kutunza misitu yetu. Kaka Lazarus Mbilinyi pale Matalawe, Njombe anajivunia utajiri wa uoto wa asili na usio wa asili. Da Yasinta unastahili pongezi. Hongera sana kwa kazi yako nzuri. Ni hayo tu. Usiku mwema.
Shabani hujakosea, sisi wangoni ni kweli tunasalimiana hivyo na mimi nakubali KWABWINA.Lizombe na limbamiza umenikumbusha pia hasa LIMBAMIZA ngoma ya wabena kazi kweli kweli
Na Fadhili Acha wivi mtani, ni kweli huu mti hii picha nimepihga Lilondo. Asante nawe kwa kunitembelea mara kwa mara hapa Ruhuwiko. Asante sana.
Mi sina wivu mtani ila roho tu ndo inauma. Kwanza sijisikii wivu tena kwa sababu nimeibuka mshindi. Uliza mshindi wa nini? Nimeotea mahali ulipopiga picha. Wakati nikisoma Kigonsera nimepita hapo na ndo nilikuwa nikinunua vipande vya kuku na ndizi za kuchoma. Basi, mate yashaanza kujaa mdomoni. Ahsante kwa picha. Alamsiki.
Jamani dadaangu, kumbe sentensi za Kiswahili zishaanza kukupiga chenga? Nimesema nimekuwa mshindi kwa kuotea mahali ulipopiga picha. Kwenye listi ya vijiji vyenu ya kwanza kabisa ilikuwa Lilondo. Haya da Yasinta, nikutakie kazi njema. Ni hayo tu.
Ne vakunikemela sadaka binti Luambano kuhuma ku Peramiho.Niliona ur page from my friend nikapenda kuwasliana nawe.Habari za kusengura lakini?Haya nakutakia siku njema salamu kwa wengine,nimekupenda kwa changamoto zako
Naapa siataki tabia ya kuchanganya kiingereza katika lugha zetu za nyumbani na kiswahili chetu. huyo Luambano natumia na kiingereza ebooo!! hivi muyeliwi mbwina panapa. mupelikisi woli eti dada Yasinta woli wenga.
Nishukuru we dada even nene after kuyandika nilolile vandu vangi yativiyelewa lepa so from tommorow i will be using swahili and English chidogo.Haya dada usengula baha,by Sadaka
Hizi lugha mlizotumia hapa Markus, Yasinta na Sadaka, tafadhali usisahau kuniletea kamusi toka Peramiho Book Shop nitahitaji kurejea maoni hapa nielewe mnatutukana kwa sababu za msingi upi hasa ndipo nilie vizuri.
tukuwone dada!za magono!Neniyimwiki kwali veve!
ReplyDeleteEe bwana ingependeza kujua wewe ni nani siku nyingine useme we nani. Haya tukumwone na veve habari za magono kubwina nishukuru ngati uyimwiki:-) na chilawu mewawa
ReplyDeleteDu hapo nimeambulia chenga tupu, sijaelewa kitu.
ReplyDeleteNgoja na mimi nijaribu kusalimu.
Haya dada yasinta habari za magono?
Ok, kama nimekosea dada nisamehe, nilikuwa na nia nzuri tu ya kutaka kujifunza lugha hiyo ambayo nadhani ni ya wenyeji wa Songea, ambao nawapenda sana kutokana na umahiri wao wa kucheza ngoma ya Lizombe na Limbamiza, hongereni watu wa Songea!!!!!!!!!!
Leo jioni nimepita kibarazani kwako nikaona nisipite kimya kimya, japo nisalimie kwa sababu huo ndio ustaarabu wetu sisi Watanzania.
Ahsante sana na wewe kwa kunitembelea na kutoa maoni yako.
Ukweli ni kwamba napenda sana changamoto zako kwani zinanisaidia kukua kimwili,kifikra na kiutambuzi pia.
Nakukaribisha tena na tena.
Karibu sana.
Huo ni ubaguzi, ubaguzi, ubaguzi kabisa mtani wangu da Yasinta.! Na mie niporomoshe cha kwetu? Hakya Mungu hapa patakuwa hapatoshi.
ReplyDeleteNimefurahi Shabani kapita kabla yangu. Natumia fursa hii kumshukuru kwa kuwa mtembeleaji mzuri katika vijiji vya wenzake.
Da Yasinta hiyo picha imesimama. Uliipiga Lilondo ama Kitai? Ama Muhukuru hapo? Isije ikawa Ruhuwiko au Matemanga.?
Inatukumbusha umuhimu wa kutunza misitu yetu. Kaka Lazarus Mbilinyi pale Matalawe, Njombe anajivunia utajiri wa uoto wa asili na usio wa asili.
Da Yasinta unastahili pongezi. Hongera sana kwa kazi yako nzuri.
Ni hayo tu.
Usiku mwema.
Shabani hujakosea, sisi wangoni ni kweli tunasalimiana hivyo na mimi nakubali KWABWINA.Lizombe na limbamiza umenikumbusha pia hasa LIMBAMIZA ngoma ya wabena kazi kweli kweli
ReplyDeleteNa Fadhili Acha wivi mtani, ni kweli huu mti hii picha nimepihga Lilondo. Asante nawe kwa kunitembelea mara kwa mara hapa Ruhuwiko. Asante sana.
Mi sina wivu mtani ila roho tu ndo inauma. Kwanza sijisikii wivu tena kwa sababu nimeibuka mshindi. Uliza mshindi wa nini? Nimeotea mahali ulipopiga picha.
ReplyDeleteWakati nikisoma Kigonsera nimepita hapo na ndo nilikuwa nikinunua vipande vya kuku na ndizi za kuchoma. Basi, mate yashaanza kujaa mdomoni.
Ahsante kwa picha.
Alamsiki.
Dada yangu mzima wewe?
ReplyDeleteNduguyo naona maandalizi ya Noeli yanifanye mahuzurio yangu yawe madogo kwako na kwingineko.
Ila naamini safari inaendelea na tutafika tu
Mi mzima Kaka Edo, hata hivyo unajitahidi asante kwa kunitembelea na kunitaka hali. Ni kweli tutafika tu. Kazi kweli kweli
ReplyDeleteHaya Fadhily wewe ni Mshindi wa nini? yaani unataka kusema sio Lilondo nimepiga hii picha haya tuambie basi!
ReplyDeleteJamani dadaangu, kumbe sentensi za Kiswahili zishaanza kukupiga chenga? Nimesema nimekuwa mshindi kwa kuotea mahali ulipopiga picha. Kwenye listi ya vijiji vyenu ya kwanza kabisa ilikuwa Lilondo.
ReplyDeleteHaya da Yasinta, nikutakie kazi njema.
Ni hayo tu.
Ne vakunikemela sadaka binti Luambano kuhuma ku Peramiho.Niliona ur page from my friend nikapenda kuwasliana nawe.Habari za kusengura lakini?Haya nakutakia siku njema salamu kwa wengine,nimekupenda kwa changamoto zako
ReplyDeleteUsengwili Sadaka binti Luambano kwa kunigendela. Nene nishukuru karibu kawili mlongo.
ReplyDeleteNaapa siataki tabia ya kuchanganya kiingereza katika lugha zetu za nyumbani na kiswahili chetu. huyo Luambano natumia na kiingereza ebooo!! hivi muyeliwi mbwina panapa. mupelikisi woli eti dada Yasinta woli wenga.
ReplyDeletenipelikisi na niloli kweli chambwina lepe
ReplyDeleteNishukuru we dada even nene after kuyandika nilolile vandu vangi yativiyelewa lepa so from tommorow i will be using swahili and English chidogo.Haya dada usengula baha,by Sadaka
ReplyDeleteHizi lugha mlizotumia hapa Markus, Yasinta na Sadaka, tafadhali usisahau kuniletea kamusi toka Peramiho Book Shop nitahitaji kurejea maoni hapa nielewe mnatutukana kwa sababu za msingi upi hasa ndipo nilie vizuri.
ReplyDeleteDa Subi acha wivu bwana, sawa nitakutafutia kamusi usipate shida. Karibu sana tena sana hapa kijijini Ruhuwiko
ReplyDelete