Ni majonzi makubwa sana kwa dunia nzima lakini hasa Afrika/kusini. Kwa kuondokewa na mwanamke shujaa na Mwimbaji Miriam Makabe alikuwa Italia kusini.Jana usiku alipatwa na homa ghafla alikuwa kule kwa ajili ya kuimba. Miriam Makeba amekufa akiwa na miaka 76.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi AMINA.
ustarehe kwa amani mama afrika. tutakukumbuka daima
ReplyDelete