Sunday, November 9, 2008

KARIBUNI WOTE TUCHEZE NA BRENDA FASSIE




Ni kweli jamani huu ni wakati mpya tuache kupigana tuishi kwa raha.

3 comments:

  1. Huu wimbo ni wimbo wangu naupenda sana na nisipokuwa na furaha huwa nausikiliza huu. unanipa mafundisho fulani. Ila huyo babu ningependa aache kumpiga bibi

    ReplyDelete
  2. wimbo wako? umelewa tayari nilijua tu utakunywa hadi kusema wimbo wako!!!!!! ha ha ha ha ha. alaa kumbe wimbo huu unaupenda sana????? ndiyo ni mavitu toka BONDENI kwa mzee MADIBA yaani ni kujiramba ramba kufuta jasho kila sehumu imelowana weeeeeeeeeeee acha mchezo na haya mambo kula NANASI KUNAHITAJI NAFASI, je wayaweza hayooooooo njoo nyasa tukufunze KWAITO.

    ReplyDelete
  3. Sihitaji kuja nyasa kwani tayari nipo nyasa na sihitaji kufundishwa tayari naweza

    ReplyDelete