Wednesday, November 19, 2008

MAISHA YA BINADAMU NI SAWA NA MAISHA YA KUKU


Mama na watoto wake tangu miezi tisa tumboni mpaka wanaanza darasa la kwanza wanamaliza na siku moja anabaki mama na baba tena peke yao kama walivyoanza maisha. Angalia hapo juu kila mama aendapo nao wapo. Mmh kazi kweli kweli.

10 comments:

  1. hapo mpo wapi jamani mimi nilidhani huko unakoishi ni baridi wakati wote. Picha nzuri hongera dada Yasinta

    ReplyDelete
  2. Asante sana usiye na jina. Ndiyo nipo hapa sweden kwani si kama ulivyoelewa huwa kunakuwa na joto hapa pia kuanzia mwezi wa nne mwishoni mpaka mwezi wa nane mwishoni.

    ReplyDelete
  3. @Yasinta: Binadamu ni mpole kuliko kuku. Kuku hufukuza na Binadamu anaweza tu kuwahimiza waanze kivyao hasa wakianza kutaka kuwa na limtu lao lakutengeneza vifaranga.

    ReplyDelete
  4. sawa Simon, Lakini hapa nilikuwa na maana watoto wa kuku na watoto wa binadamu wakiwa wadogo hufuata mama kila mahali. na wakisha kuwa wakubwa unabaki peke yako.

    ReplyDelete
  5. @Yasinta:Nimekupata sasa!Hongera lakini kwa kufanikisha watoto bomba!

    ReplyDelete
  6. Haya picha nzuri sana dada yasinta nimefurahi sana kila wakati ninafungua blogu yako na kuangalia hiyo picha Big up& keep it up sana tu.

    ReplyDelete
  7. asante fita. na karibu tena kunitembela

    ReplyDelete
  8. jamani nataka kufungua mashtaka, kwanini unamuita mjombangu hapo kuku? au kwkuwa umevaa miwani ya jua halafu wenzako wanateseka ? sikuelewe halafu mbona kwe kunyuma oko kunoni sana kyani wenga wila kyani? bambu ngwanawaku ayili? lakini picha imependeza sana hata kama tunafuta kama kuku. Poa naona toka nyuma picha imeonyesha vizuri, miwani watoto nao wapo safii wanamfurahi mama

    ReplyDelete
  9. Markus, Kuto kuvya naaa wangósi veve kyani nene na munu tu wa kawaida kimevili lepi cha nilya. Ila usengwili

    ReplyDelete