Tuesday, November 4, 2008

MAISHA + NDOA YA WANAUME KWA WANAUME




Labda sababu ya kupenda, kazi kweli kweli ila labda kweli sababu ya kupenda semeni ninyi

3 comments:

  1. upendo kwa maana ipi? ndoa kwa maana ipi??? nina hasira za waai kuhusu hawa watu samahani sitosema neno jingine

    ReplyDelete
  2. Nimeweka hapa makusudi kwani mimi sielewi wanaume kwa wanaume kuishi pamoja kama mke na mume nikisema dunia imekwisha watu wamelaaniwa mnasema. oh oh. sasa?

    ReplyDelete
  3. eeh jamani nani baba na nani mama

    ReplyDelete