Tuesday, November 4, 2008

MAISHA +NDOA MKE NA MUME




Kwa mawazo au akili yangu sijui ipi ni kweli au uwongo kwani labda ni kweli kila mtu duniani hapa ameumbika tofauti. Ni mungu peke yake anajua au labda ni wewe peke yako na nafsi yako ndiyo wajuzi.

2 comments:

  1. Kuwa na mke ni haki ya kila mtukwani wanasaikolojia wanatuambia kuwa unapokuwa katika wawili huundoa msongo wa mawazo

    ReplyDelete
  2. wawili kivipi mtu wangu? mmm kuwa wawili mtaharibu mchuzi bora peke yako au uwongo lakini utamu kunoga sana sana

    ReplyDelete