Monday, November 17, 2008

DUBU (Bear)




Kama mnavyooona hapa hii picha nimepiga mwenyewe kwani hapa ilikuwa karibu na siku zangu za mwisho. Nilikuwa mstuni natafuta uyoga, uroho wa uyoga. Lakini naona siku zangu zilikuwa bado.

4 comments:

  1. Dada Yasinta,

    Tafadhari sana kuwa makini na huo uyoga wako kwani Eric na Camiila bado wanakuhitaji sana huo jamaa yupo smart mbio na kupanda miti balaa bahati yako na yeye hakuwa na watoto wake maana tungeongea mengine.

    ReplyDelete
  2. Asante kwa kunifahamisha, ingawa umechelewa inaonekana Mungu bado ananipenda sana. Na pia asante nitakuwa makini siku nyingine

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete