Nimesha wahi kula nyama yake ni tamu. Huwa kila mwaka kuanzia mwezi wa tisa mpaka wa kumi mwishoni kunakuwa na mawindo ya mnyama huyo ila kwa wale wenye vibali tu.
mhh we unakulakula tu. angalia usijekula ya bi... (sory) i was dizzy. kama huyu ndiye mfalme wa poli basi nina wasiwasi tukimleta Simba mmoja hata kitoto itakuwaje. kwanza mfalme wa pori haliwi na ndio maana simba haliwi na binadamu wala mnyama yeyote labda inzi! ongera kumfahamu
heheheheh, sio kila kitu kinafaa kuigwa. unamaana ukienda umasahini utakula nyama mbichi? au ukienda maeneo ya kusini mwa tz utakula mbwa au panya? shauri yako, mimi simo, najitoa
haya, kama wananishikia mkuki au wananifunga kamba basi nitakula lakini bila hivyo hapana hasa mbwa na panya. Kusini mwa TZ huko ni wapi yaani mji/kijiji gani naambie basi!
wewe usinibane na maswali yako na hasa ikizingatiwa wewe ni mtu wa kusini. hujasikia wanaosema umbwa badala ya mbwa? au samaki nchanga? bukoba utakula grasshopers a.k.a nsenene
Nimesha wahi kula nyama yake ni tamu. Huwa kila mwaka kuanzia mwezi wa tisa mpaka wa kumi mwishoni kunakuwa na mawindo ya mnyama huyo ila kwa wale wenye vibali tu.
ReplyDeletemhh we unakulakula tu. angalia usijekula ya bi... (sory) i was dizzy.
ReplyDeletekama huyu ndiye mfalme wa poli basi nina wasiwasi tukimleta Simba mmoja hata kitoto itakuwaje. kwanza mfalme wa pori haliwi na ndio maana simba haliwi na binadamu wala mnyama yeyote labda inzi!
ongera kumfahamu
asante Kamala ila kumbuka waswahili wanasema ukiwakuta watu wanatembea uchi basi nawe fanya hivyo
ReplyDeleteheheheheh, sio kila kitu kinafaa kuigwa. unamaana ukienda umasahini utakula nyama mbichi? au ukienda maeneo ya kusini mwa tz utakula mbwa au panya? shauri yako, mimi simo, najitoa
ReplyDeletehaya, kama wananishikia mkuki au wananifunga kamba basi nitakula lakini bila hivyo hapana hasa mbwa na panya. Kusini mwa TZ huko ni wapi yaani mji/kijiji gani naambie basi!
ReplyDeletewewe usinibane na maswali yako na hasa ikizingatiwa wewe ni mtu wa kusini. hujasikia wanaosema umbwa badala ya mbwa? au samaki nchanga?
ReplyDeletebukoba utakula grasshopers a.k.a nsenene