Thursday, September 18, 2008

YASINTA NA WAFANYAKAZI WENZAKE

Hapo juu ni kundi la wafanyakazi wenzangu

Mimi tena, napenda sana chai bila sukari (chingambu)

6 comments:

  1. Mmh...! Chai bila sukari, kamwe siwezi!

    ReplyDelete
  2. basi mimi na ndo naibugia kweli si umeona hicho kikombe kilivyo kikubwa kama pipa. Kama hivyo vinne hivi hapa siku itaenda vizuri, anayejisikia kunywa chingambu karibu sana

    ReplyDelete
  3. Hiyo chai inawekwa viungo gani mpaka unywe bila sukari? hata mie siwezi!

    ReplyDelete
  4. bila kiungo chochote kile rafiki yangu hivyo hivyo. karibu ujaribu

    ReplyDelete
  5. asante! nitajaribu siku moja

    ReplyDelete