Wednesday, September 17, 2008

MASHINDANO YA WALEMAVU PARALYMPIC BEIJING

Anders Olsson ni mshindi wa kuogelea kwa hapa Sweden yeye ni mlemavu hawazi kutembea .





Oscar Pistorius ni mshindi wa dunia kwa kukimbia mita 100, 200, na 400. anatoka Afrika kusini. Sio Bolt tu anaweza kukimbia wapo wengi.

1 comment:

  1. mwenzenu tumbo linauma ninapomwangalia huyu mkimbiaji. naona kama hivyo "vyuma" vitatoka na ataumia

    ReplyDelete