Wednesday, September 24, 2008

MJADALA WA LEO

Hili swali limekuwa likinikereketa sana miaka yote ambayo nimeishi hapa duniani kwa hiyo sasa naomba mwenzangu tujadiliana au mnipe jibu.

SWALI NDIO HILI:- Je? Kuna sheria Tanzania isemayo kama msichana akipata mimba asiendelee na masomo?

1 comment:

  1. ndiyo ipo kwani ilikuwa ikizuia wanafunzi wenye ujauzito ni marufuku kuendelea na masomo. Lakini imeondolewa sasa na ushahidi mmojawapo ni mwanafunzi wa huko shinyanga ambaye yupo kidato cha sita sasa. MSAADA KWENYE TUTA WANASHERIA WATUSAIDIE NI SHERIA NAMBA NGAPI YA MWAKA GANI NA ILIYOONDOLEWA NI MWAKA 2007/2008 NAMBA NGAPIA

    ReplyDelete