Tuesday, September 23, 2008

MAISHA YA KIFALME

Leo nimeona tuangalia kidogo Sweden, nadhani wengi mnajua ya kwamba Sweden sio nchi ya Kijamhuri ni nchi ya mfumo wa ufalme (monarch)
Hapa ni mfalme wa Sweden Carl Gustav
Mkewe Malkia Silvia yeye asili yake ni Mjerumani




Hapa ni binti mfalme,Victoria ambaye hapo baadaye ndiye atayeongoza nchi (atakapokufa babake mfalme).




Mwana wa mfame Carl Philip




Binti mfalme mdogo Madeleine





Na hapa ni familia nzima ya kifalme






5 comments:

  1. kwanini serikali za kibepari zinashauri serikali za afrika kuwa na uongozi wa kidemokrasia/kisiasa na kuacha mambo ya tawala za kifalme? mbona wenyewe wanafanya kama hivi,mmm watawala wetu wamepotea njia/waafrika

    ReplyDelete
  2. Enter your comment..maisha ya kifalme ni maisha mazuri,ni vyema Na nchi nyingine kuiga mfano.

    ReplyDelete
  3. replica evening bags navigate to this site l2f94x0t55 replica bags aaa you can look here n6c84s5z98 replica gucci bags replica prada nylon bags z2h60c0d57 anonymous b9n55x7h34 replica louis vuitton replica bags aaa g4u22j5c37

    ReplyDelete