Mtoto akipokelewa vizuri katka ulimwengu huu, kama vile mama huyu anavyofanya kwa mtoto wake, inamfanya mtoto awe na matumaini na kuvumilia matatizo ya maisha katika utu uzima.
Mtoto huyu ana njaa na ametekelezwa. Hana mtu anayemsimamia haki zake za msingi (chakuli, malazi, upendo, elimu na malezi)
Mtoto kama huyu amekwishawekewa msingi mbaya wa maisha na ana hatari ya kuathirika kisaikolojia siku zote za maisha yake.
Pole sana mtoto maana hana kitu wala mtu. Lakini kuna watu wana chakula na sehemu ya kutosha pia uwezo wa kumtunza mtoto kama huyo. Pia kuna watu kila siku wanatupa chakula pia nguo chukua nafasi na saidia watu kama mtoto huyo.
ReplyDeletemmmmmmmmm huyu anayenyonyesha ni wewe au nimekosea dadangu maana unamuangalia mtoto mpaka analegea shingo ha ha ha ha aha
ReplyDelete