mmm jamani hakika umenikumbusha sana Abate Lambert kwani nilipomaliza kidato cha sita 2005 aliwahi kunihoji iwapo naweza kujiunga na seminari ili nifaute nyayo za baba yangu mkubwa padre chiwangu kongocha. mwenzenu nilimwambia haraka sana kwamba ndoto hizo zimekufa naogopa kuharibu kanuni za mwenyezi mungu
Duh Markus yahitajika wito.Zamani nilikuwa napenda sana kuwa "faza" nilivyokuwa naona magari mazuri mazuri wanayoendesha enzi hizo,lakini baadae nilikata tamaa na hilo la kuishi konventini peke yangu.
Katika mikoa ambayo sijakanyaga ni kusini.Siku moja nitakuja huko.
Haya kaka edwin unaruhusiwa kutumia picha lakini sijui ipi. Kwani natamani sana kusoma hiyo habari unayotaka kuiandika. Na kaka egidio KARIBU SANA RUVUMA
mmm jamani hakika umenikumbusha sana Abate Lambert kwani nilipomaliza kidato cha sita 2005 aliwahi kunihoji iwapo naweza kujiunga na seminari ili nifaute nyayo za baba yangu mkubwa padre chiwangu kongocha. mwenzenu nilimwambia haraka sana kwamba ndoto hizo zimekufa naogopa kuharibu kanuni za mwenyezi mungu
ReplyDeleteDuh Markus yahitajika wito.Zamani nilikuwa napenda sana kuwa "faza" nilivyokuwa naona magari mazuri mazuri wanayoendesha enzi hizo,lakini baadae nilikata tamaa na hilo la kuishi konventini peke yangu.
ReplyDeleteKatika mikoa ambayo sijakanyaga ni kusini.Siku moja nitakuja huko.
nina mengi sana ya kuandika kuhusu huu mtundiko.
ReplyDeleteNimekumbuka mengi sana.
Naomba nichukue nafasi hii kuomba ruksa ya kutumia pichayako ili niweze kuandika niliyoyaona na kukumbuka nilipofika Ruvuma.
Haya kaka edwin unaruhusiwa kutumia picha lakini sijui ipi. Kwani natamani sana kusoma hiyo habari unayotaka kuiandika. Na kaka egidio KARIBU SANA RUVUMA
ReplyDeleteMMhm... Hapo Peramiho miaka ile ya themanini ilikuwa kama kwenda ulaya. Siku za Jumamosi walikuwa wanauza nguo nzuri sana na viatu vizuri
ReplyDeleteWale wapenzi wa Mkuu wa Meza waliweza kununua kila watakazo....
Anyway huu utaratibu bado upo hapo Peramiho?
Kaka kibunango kusema kweli sijui ila nadhani bado. Ila ni kweli nakumbuka wakati ule miaka ya 80-90 ukifika peramiho mmh
ReplyDelete