Monday, August 25, 2008

AGOSTI 25, 2008 SALAMU KUTOKA MIKUMI




Katika picha ni Camilla na Erik Mwaka jana wakati tupo Tanzania kuwasalimia babu, wajomba,mama mdogo na pia ndugu wengine. Hapa ni kituo cha kwanza Mikumi. Pia tunapenda kutoa salamu kwa rafiki yetu Emanuel Lazarus.

Ujumbe watoto tupendane.

2 comments:

  1. Hongera kwa Camilla na Erik, Emmauel amezipata salaamu zake na anawaomba siku moja wakutane ili wafahamiane zaidi.

    HOngera sana kwa kuwalea hadi kufikia hiyo hatua naamini unaendelea kufanya kazi zaidi maana uzione vinaelea vimeundwa, maana wamependeza sana.

    Ubarikiwe

    ReplyDelete