Thursday, August 21, 2008

AGOSTI 21/8 2008 NITAKAPO KUWA MZEE



Huyu bibi nimempenda sana. Mungu akinijaria maisha marefu, mpaka nitakapokuwa mzee nataka kuwa kama yeye. Napenda makunyanzi yake.

1 comment:

  1. mnajua kuna watu wengi sana wanaangaika eti kutoa makwinyazi. Jamani taabu yote hii ya nini uzee ni uzee tu na ujana ni ujana. Kama muda wa kuwa kijana umepita basi umepita

    ReplyDelete