Hili ni kanisa ambalo nilibatizwa, na nimesali tangu siku ile niliyobatizwa mpaka nilipokuwa darasa la nne. Sasa nimerudi tena baada ya kupoteana kwa muda wa miaka ishirini. Kanisa hili lipo katika kijiji cha Lundo kando ya ziwa Nyasa kusini magharibi mwa Tanzania. Na kanisa hili linaitwa MAKWAI.
Hongereni kwa majengo mazuri ya makanisa naona kila picha ya kanisa jengo ni la maana kweli Nyasa mpo mbali!
ReplyDeletekaribu ujionee mwenyewe
ReplyDelete