Mara nyingi nimekuwa nimejiuliza:- Hivi maisha yangekuwa vipi kama kusingekuwa na urafiki? Rafiki si mtu tunayecheka na kufurahia naye maisha tu, hapana bali pia tunayekuwa naye katika shida na raha! Marafiki hutusaidi kupata majibu ya maswali mbalimbali yanayotukabili. Katika ndoa, urafiki ni msingi imara kwani wanandoa wanatakiwa kuwa marafiki. Lakini hata hivyo bado sijapata jibu sawa sawa kuwa rafiki wa kweli ni nani? na anatakiwa kuwa na sifa gani?
Rafiki wa kweli ni wewe mwenyewe halafu unayemuamini anafuatia.Mara nyingi nimekuwa nikiugulia swala hili kwani marafiki zangu inaonekana siyo marafiki wa kweli bali ni watu ninaofahamiana na nao.Kumbuka unaweza kufahamiana na watu wengi lakini wasiwe marafiki.Rafiki wa kweli nayefutia anasema mambo mema na anahitaji uwe mwema kwa kila jambo hapendi upotee kama mwana mpotevu.hachoki kukoona au kuwasiliana naye,muda wote ni furaha
ReplyDeleteSawa nimekuelewa kaka mpangala usengwili.
ReplyDeleteobat telat bulan i think your blog very informative cytotec thanks for sharing obat cytotec
ReplyDelete