Umenikumbusha mbali sana. Siku hizi kijijini (vijiji vingi) uyoga hakuna ingawa miaka 20 iliyoopita uyoga ulikuwa unaota kama njugu sasa tumekata miti ovyo na hakuna misitu so hakuna uyoga tena. Inasikitisha sana. Hata hivyo naamini juhudi mpya za upandaji misitu zitarudisha uoto wa asili na uyoga utaanza tena. Karibu kijijini kwangu nina msitu una uyoga tena nataka uchume mwenyewe then ukaupike tule! unaujua wikulu, wifindu, witali. wilelema nk
Mhh raha kweli kuwa na misitu yako sawa nakuja. Na hapa sijui wikulu wala witali . Labda sijui Wilelema ni sawa na ulelema au? nikiwa porini mimi nachuma huu wa njano tu basi(unguyugu)kilugha nadhani
Umenikumbusha mbali sana.
ReplyDeleteSiku hizi kijijini (vijiji vingi) uyoga hakuna ingawa miaka 20 iliyoopita uyoga ulikuwa unaota kama njugu sasa tumekata miti ovyo na hakuna misitu so hakuna uyoga tena. Inasikitisha sana.
Hata hivyo naamini juhudi mpya za upandaji misitu zitarudisha uoto wa asili na uyoga utaanza tena.
Karibu kijijini kwangu nina msitu una uyoga tena nataka uchume mwenyewe then ukaupike tule! unaujua wikulu, wifindu, witali. wilelema nk
Upendo daima!
Mhh raha kweli kuwa na misitu yako sawa nakuja. Na hapa sijui wikulu wala witali . Labda sijui Wilelema ni sawa na ulelema au? nikiwa porini mimi nachuma huu wa njano tu basi(unguyugu)kilugha nadhani
ReplyDelete