Sunday, July 13, 2008

JULAI 13,2008 KINYWAJI


Zote hizo nimezitwanga leo, nakuambia zinapatikana hadi huku.

5 comments:

  1. Det ser gott ut. Har du druckit alla själv. Var de kalla.

    ReplyDelete
  2. kumbe nawe mnyasa unalewa pombe hizo?bora uje unywe pombe zetu huku nyasa unapata afya njema hata kama italala kwa siku tatu.ndiyo maana hutaki ulanzi sababu ya hizo pombe...

    ReplyDelete
  3. nikija huko nyasa afadhali ninywe togwa

    ReplyDelete
  4. Hivi Kumbe hata huko Nyasa mnakunya ulanzi???? kazi kwelikweli maana naijua hii shughuli ikiwepo maendelea sahau kabisa, nahisi ulanzi unapumbaza akili kwani watu wote wanaobobea kwenye ulanzi huanza kufikiria historia tu bila kufikiria future. Ni vizuri kupanda miti kuliko kupanda mianzi zaidi na laiti mianzi yote ambayo imepandwa ingekuwa miti naaamini tungekuwa na utajiri wa hali ya juu.
    Huo ni mtazamo wangu tu unaweza kunikosoa kadri ya unavyotaka!!!!

    ReplyDelete
  5. Samahani ni Kunywa ulanzi si vinginevyo.

    ReplyDelete