Saturday, February 23, 2008

ruhuwiko 23/2 jumamosi

Habari zenu ndugu wasomaji hii ni blog yangu ya kwanza. leo mimi na familia yangu tulikuwa mstuni kula chakula, unajua tena baridi sana hapa kwa hiyo watu muda mwingi wanakuwa ndani tu. Lakini leo jua na pia joto lilikuwa kidogo. nadhani mtajiuliza tulikula nini jibu ni kwamba tulichoma soseji na pia mikate

na yasinta


Hej på er alla läsare det är min första blogg. Idag jag och min family har varit i skugen och grillade korv.


av yasinta

2 comments:

  1. Hej Y, bra jobbat, T

    ReplyDelete
  2. Hakika mambo huanzia mbali kwneye milima na mabonde.Hongereni saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!

    ReplyDelete