Wednesday, June 29, 2022

PICHA YA WIKI IKIWA KATIKA VAZI LA KITENGE KWENYE POZI LA BAISKELI

NAWATAKIENI SIKU NJEMA!

1 comment:

  1. Da Yacinta habari za siku nyingi. Sisi huku tunalima summer tu na winter tunagandisha na kuendelea kuhomola. Tafadhali ondoa huo ujumbe juu wa utapeli na kutangaza upumbavu. Huyo aliyeweka ujumbe huo na kuficha ujumbe ni shetani binadamu anayetaka kuwaliza watu akidhani ni wapumbavu kama yeye. Tafadhali ondoa uchafu huu. Kwangu ukiwekwa nauporomosha siku hiyo hiyo maana kuna mipumbavu inayotaka kutumia blog za wenyewe kutanganza uchafu na utapeli wake. Ondoa tusitapike aghaaa aghaaa!

    ReplyDelete