Friday, September 3, 2021

UJUMBE WA WIKI HII!

Watu watano wanaostahili muda wako:- 1. Familia 2. Rafiki(bora) wa karibu 3. Mshauri/mlezi wako 4. Wanaohitaji msaada wako 5. Wewe mwenyewe yapaswa:- Ujipende na utumie muda wako kutafakari na kujiboresha.

3 comments: