Namshukuru mwenyezi kwa kunipa afya njema mpaka leo nimeiona kumbukumbu yangu ya kuzaliwa. Pia napenda kuwapa hongera kwa wote waliozaliwa mwezi huu wa kwanza na watakaozaliwa mwezi huu.
Kwa vile nilikuwa mwema familia, ndugu na marafiki wamenipondeza kwa zawadi.HONGERA SANA KWA SIKU YA KUZALIWA MIMI.
Hongera sana dada yangu!
ReplyDeleteHongera sana Kadala wa mimi
ReplyDeleteMungu aendelee kukubariki
Nakupenda...
Ni mimi wako mtiifu
Kachiki.
Happy birthday japo nimechelewa kukuwish
ReplyDeleteHongera sana my lovely baby,
ReplyDeletemungu akutunze kila siku na akupe maisha marefu
Ndugu zangu wapendwa nachukuwa nafasi hii kuwashukuruni kwa kuwa nami katika kumbukumbu yangu ya kuzaliwa, mmlonho Mfundishi usengwili sana na chilawu mewawa, Rachel aka Kachiki wa mimi ahsante sana nami nakupenda, Prince Emac wala hujachelewa huu mwezi wote ni wangu:-), Dada P, nashukuru sana kwa maombi yako.
ReplyDelete