Monday, December 17, 2018

LEO NIMEKUMBUKA MITINDO YA ZAMANI JINSI WATU WALIVYOKUWA WAKIPEANA HISIA ZAO

Hapa itakuwa anaenda kisimani ndoo kaficha sehemu, hivi unafikiri kwa nini hawaangaliani?
Hapa yaonekana mdada anaenda kutafuta kuni

...na mtindo huu ni kiboko wote wanaonekana kuwa na aibu ...


....hii ni  baadhi ya mitindo ya hapo kale.  Au pia watu walikuwa wakiandika barua au kumtuma mtu. Siku hizi eti mtu anatuma sms ya kawaida au WhatsApp

2 comments:

  1. Aisee una kumbu kumbu, kwn wkt huo ulikuwa umekuwa kweli na kunote hayo??
    i wonder!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Dada P, Nilizaliwa ila nilikuwa kabinti tu..:-)

    ReplyDelete