Monday, November 12, 2018

HII NI KAZI YA MIKONO YA KAKANGU HUKO MBINGA...MTOTO UMLEAVYO NDIYO AKUAVYOO

 Ukijishughulisha hakika njaa hutaiona......
Tujifunze kujishughulisha na hapo tutaona mafanikio yake

4 comments:

  1. Kweli, mkono mlegevu huelekea huitaji bali mkono wenye bidii huelekea mafanikio

    ReplyDelete
  2. Napenda sana kipindi chako Mungu azidi kukuonyesha njia na mafanikio katika shughuli zako za kila siku

    ReplyDelete
  3. Ndugu zanguni Samwel, Penina na Richard! Ahsanteni sana kwa kuwa nami. Napata moyo zaidi wa kublog. Nawakaribisha tena na tena. Pamoja daima nawapenda sana.

    ReplyDelete