Wednesday, October 3, 2018

TANGU WAKIWA WADOGO HUPENDA KUJITUMA, LAKINI JAMII HAIWAAMINI

Wiki hii tuanze na picha hii..yaani kama ujumbe usemavyo hapo juu....NAPENDA KUWATAKIENI WIKI NJEMA NA PIA JUMATANO NJEMA....KAPULYA WENU!!

2 comments:

  1. Ndivyo ilivyo, mpaka wafanye jambo kubwaaah, tumekupata ndugu wangu

    ReplyDelete
  2. Ndugu wangu emu-three:- Hivi ni kwanini huwa hivyo?

    ReplyDelete