Wednesday, August 1, 2018

TUANZE WIKI HII MPYA YA MWEZI HUU MPYA WA NANE KWA KUANZA NA KUSHIRIKIANA KULA CHAKULA HIKI

Karibu ugali wa muhogo, nyama ya kuku na dagaa. KARIBUNI SANA na muwa na wakati mzuri kwa kuanza mwezi huu wa nane.

2 comments:

  1. Dah ila vyakula vya asili kweli vinavutia, ila siku hizi vipo adimu, hata ukibeba kuku wa kienyeji ukampika humu mjini hanogi kama uliemla kijijini kbe, hata ugali pia, tena kuku unajitahidi kumuunga hadi ndimu lakini huwezi pata radha ya kijijini

    ReplyDelete
  2. Dada P! usemacho ni kweli kabisa maana zamani hata ukipika chukuchuku ni utamu tu ...zamani ilikuwa dhahabu.

    ReplyDelete