Mapenzi ni hisia kamilifu zitokazo ndani ya moyo wa mwanadamu. Hisia hizo hukamata pindi macho yaonapo, moyo upendandapo kile macho yaonapo. Haijalishi tabia ya mtu ila ukweli moyo ukishapenda umependa.
Na ukilazimisha kubadilisha utalazimisha maumivu makali yawezayo kuondoka na furaha na kukuachia simanzi pamoja na mawazo tele.
Haswaa...100% upo sahihi
ReplyDelete:-) Ahsante kukubaliana nami!
ReplyDelete