Friday, June 29, 2018

TUUMALIZE MWEZI HUU WA SITA KWA MTINDO HUU WA ZILIPENDWA

Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote yaliyotekea mwezi huu wa sita mazuri na mabaya kwani yeye ndiye muweza na zaidi napenda kumshukuru kwa kutupendelea tulio hai mpaka leo na hata hivyo naomba tuwaombee wenzetu waliotutangulie. Basi nimalize kwa kusema tusisahau kutakiana hali pale tupatapo wasaa kwani sisi sote ni ndugu na ni watoto wa baba mmoja. Tuwe na furaha pale tunapoweza kwani maisha yenyewe haya ni mafupi. NAWAPENDENI SANA WOTE. NAWATAKIENI AMANI NA FURAHA ....KAPULYA WENU.

4 comments:

  1. Hongera kwa mtindo huo, umependeza kweli, unanikumbusha zile enzi za awali...blogs ikawa kijiji kimoja, sasa hivi...mmh, hata wenye nchi hawazitaki,...jamani..jamani

    ReplyDelete
  2. ndugu yangu nimefurahi upo nami. jamani jamani kwa nini watu hawahatupo kama kijiji tena ?

    ReplyDelete
  3. Nyakati hazifanani labda kijiji kimezaa vijiji. Tupo pamoja

    ReplyDelete