Thursday, March 15, 2018

KUMBUKUMBU:- NIMEKUMBUKA KWETU LITUMBANDYOSI/KINGOLI TULIKUWA TUNAKULA SANA HAYA MATUNDA NA KUCHOMA KOROSHO WENYEWE ILIKUWA SAFI SANA NA TAMU

Korosho na mabibo ya njano
Na hapa ni korosho na mabibo mekundu
Nikukumbuka hii nakumbuka pia mbula zilivyoniponza na nusu ya kupotenza kidole changu kimoja kwa ajili ya kubangua mbura ili kupata zile karanga.....

2 comments:

  1. Nyumbani kwako ni kwako na ndiyo nyumbani kwa mama yako.

    ReplyDelete
  2. Kaka Ray! yaani kweli kabisa na ndiyo maana wanasema mkataa kwao mtumwa...ahsante sana kwa kuwa nami.

    And you without name thank you but I don´t no tha problem...

    ReplyDelete