Hapa yaonekana kuna kitu alikuwa akishangaa au sijui hakuwa na njaa?
CHAKULA AKIPENDACHO KAPULYA KULIKO VYOTE HAPA DUNIANI NI SAMAKIBAADA YA KAZI YA WIKI NZIMA SIO MBAYA KUJOPONGEZA KIDOGO. NAWATAKIENI WOTE MWISHO MWEMA WA WIKI HII NA IWE YA FURAHA NA AMANI ITAWALE KATIKA KAYA ZENU.
Ni kweli!!
ReplyDeleteAhsante sana sana kaka Ray na usichoke kupita tena na tena
ReplyDelete