Afya za zetu zinazidi kuzorota kutokana na miili kukosa virutubisho asilia vinavyotokezwa na vyakula asilia. Nimedokezwa kuwa magonjwa mengi yasiyoambukiza chanzo chake ni watu kubadili maisha asilia na kuigia kwenye mitindo maisha isiyo na mashiko kiafya.
Kaka Ray nakubaliana nawe...yatupasa wakati mwingine tunapoiga maisha ya wengine tuchagua yale yenye faida na misingi na sio kuiga na utakuta wakati mwingi hayo tuigayo kwa hao tuwaigao huyakwepa....
Nimependa maboga sana
ReplyDeleteKaka Juma mimi napenda vyote na hasa mahindi ya kuchemsha yakichemshwa pamoja na maboga:-)
ReplyDeleteAfya za zetu zinazidi kuzorota kutokana na miili kukosa virutubisho asilia vinavyotokezwa na vyakula asilia.
ReplyDeleteNimedokezwa kuwa magonjwa mengi yasiyoambukiza chanzo chake ni watu kubadili maisha asilia na kuigia kwenye mitindo maisha isiyo na mashiko kiafya.
Kaka Ray nakubaliana nawe...yatupasa wakati mwingine tunapoiga maisha ya wengine tuchagua yale yenye faida na misingi na sio kuiga na utakuta wakati mwingi hayo tuigayo kwa hao tuwaigao huyakwepa....
ReplyDelete