NAPENDA KUWATAKIENI JUMAMOSI NJEMA NGAWA HALI YANGU NI DHAIFU KIDOGO!
Ni jumamosi nyingine tena na kapulya leo kapataikana na tumafua kidogo lakini kwa maombi yenu naamini nitakuwa mzima kabla juu halijazama:-) Nawatakieni JUMAMOSI YENYE AMANI NA FURAHA KATIKA KIPINDI HIKI CHA KWARESMA.
pole!
ReplyDeleteAhsante sana ndugu yangu Samweli...na karibu sana katika kibaraza hiki...
ReplyDeleteUgua salama!!
ReplyDeleteAhsante kaka Ray!
ReplyDelete