Hii ni barabara toka Songea kwenda Peramiho ..miaka 3 iliyopita hiki kibao hakikuwepo ...maendeleo ni kasi sana inafurahisha:-)
Kutua ardhi uliyozaliwa sio mchezo ni raha sana kama muonavyo Mungu anavyoshukuriwa na hapa pia ni Peramiho
Na raha inaongezeka pale unapokutana na ndugu kama hapa huyu ni binti Lucy ni binti ya kakangu.
kwa leo tuishie hapa panapo majaliwa na tutaendelea na picha pia matukio mengine ya huko Ruvuma kwetu.....
Kumbe ulikuja kimia kimia kama kawaida yako ukaondoka kimia kimia...nimefurahi sana kuona hizo picha,...hasa hiyo hapo ya kumshukuru bwana mungu wako. Tupo pamoja
ReplyDeleteNdugu wa mimi emuthree uniwie radhi kwa hili ila nadhani niliaga:-) Pamoja daima
ReplyDeleteMie nilimuona mitaa ya Songea na Manda.
ReplyDeleteKaka Mhango bwana kumbe nawe upo huko? Mbona hukunistua?
ReplyDelete