Namshukuru Mwenyezi Mungu, kwa kuniongezea mwaka mwingine katika maisha yangu....kuna wengine walizaliwa siku kama hii lakini hawapo duniani kusherekea siku yao.
Hongera kwa mimi na wengine wote waliozaliwa siku kama hii......uzee nao ndo huuoo unanivizia KARIBUNI KUSHEREHEKEA NAMI:-)
Heri ya kuzaliwa Dada Yasinta..Mwenyenzi akubariki sana ����
ReplyDeleteManka, AHSANTE SANA KWA KUWA NAMI KATIKA SIKU YA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KWANGU
ReplyDeleteHappy Birth Day tu yuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
ReplyDelete