Friday, January 26, 2018

KARINUNI TUJUMUIKE MCHANA HUU NDUGU ZANGU!

Ugali, samaki sato na mchicha bila kusahau pilipili...karibuni mchana huu tujumuike. Ijumaa njema

2 comments:

  1. Daaah naikubali saana

    ReplyDelete
  2. Prince ndugu yangu yaani hapa patamu sana sana...pia napakubali haswaa

    ReplyDelete